lrc歌词下载,我和我的祖国歌词,万疆歌词,国际歌歌词,声声慢歌词,走马歌词,歌词网 设为首页 加入收藏 网站地图
乐趣猴歌词网
热搜:

Mapenzi - Ibraah

Mapenzi 文本歌词

作词 : Ibraah 作曲 : Ibraah No uuuh oooh aaaah uuuuh ooooh aaaah Mr Simon Hayaa aaah yeee eeeh Verse 1 Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia na siku zinakwenda aaaaah na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear haya mapenzi mwana kwenda aaaaah no oooh ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video usione mtu analiaga ukadhani ni utoto mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Verse 2 Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo na ukikosa unachopenda utapagawa bure hata ufanye matambiko na na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke Yako ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo maana mapenzi hayana mwenyewe aaaaah unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo ukajihisi una mkosi weeewe aaah huuu oooh aaah, ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Ibraah Konde Music worldwide Mr Simon

Mapenzi LRC歌词

下载【Mapenzi】的LRC歌词

猜你喜欢